Waadhini wa leo wageuze vichwa vyao na kuweka vidole masikioni?

Swali: Je, muadhini ageuze kichwa [upande wa kulia na wa kushoto] wakati wa ´Haiyyaa ´alaas-Swalaat` na ´Haiyyaa ´alaal-Falaah` na aweke vidole vyake masikioni pamoja na kuwepo vipaza sauti au hekima juu ya hilo imeisha?

Jibu: Hapana. Hekima haikuisha. Ageuke upande wa kulia na wa kushoto kwa sababu hii ni Sunnah yenye kubaki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14705
  • Imechapishwa: 19/04/2015