Vitabu vya ´Aqiydah kwa anayeanza

Swali: Ni vitabu vipi bora vya ´Aqiydah kwa anayeanza?

Jibu: Vitabu vidogovidogo vya maimamu wa Da´wah akiwemo Imaam na Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab kama mfano wa “Usuwl-uth-Thalaathah” na “Kashf-ush-Shubuhaat”. Aanza na hivyo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 03/10/2021