Swali: Je, inajuzu kutafuta elimu kutoka kwa Ahl-ul-Bid´ah na kusoma vitabu vyao kwa kukosekana vitabu vya Ahl-us-Sunnah katika mji wangu?

Jibu: Ahl-us-Sunnah wapo na vitabu vyao vinapatikana.

Lakini hata hivyo unachotakiwa kufanya ni wewe kutafuta na kupupia hilo. Usisome kwa Ahl-ul-Bid´ah na vitabu vya watu wa Bid´ah. Usiviamini. Kwa kuwa ni kama chakula chenye sumu kinachoua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14340420.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015