Swali: Walinganizi wa fitina wamekuwa wengi leo. Vipi tutaweza kuwajua ili tuweze kujiepusha nao?

Jibu: Jifunze Sunnah. Jifunze Sunnah ili uweze kujua Sunnah na Bid´ah, watu wa kheri na waovu. Ni lazima ujifunze elimu ya Kishari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14897
  • Imechapishwa: 21/04/2015