Swali: Umetaja maneno ya Allaah (´Azza wa Jall):
وَاهْجُرُوهُنَّ فِي الْمَضَاجِعِ
“Wahameni katika malazi.” (04:34)
Je, ina maana ya kwamba mtu ajitenge mbali na kitanda chake au mtu alale naye bila ya kuongea naye na kufanya naye jimaa?
Jibu: Aayah ni kwa jumla. Ni pamoja na kwamba analala kwenye kitanda kimoja naye bila ya kuongea naye na kustarehe naye na kwamba analala sehemu nyingine. Nimetaja sehemu ya mwisho na kwamba analala sehemu nyingine kama kwenye chumba kingine, katika nyumba nyingine na kadhalika. Makusudio ni kwamba afanye kile ambacho anaonelea [kuwa ni sawa] ili aweze kumfanya kuwa bora.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (21)
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Umetaja maneno ya Allaah (´Azza wa Jall):
وَاهْجُرُوهُنَّ فِي الْمَضَاجِعِ
“Wahameni katika malazi.” (04:34)
Je, ina maana ya kwamba mtu ajitenge mbali na kitanda chake au mtu alale naye bila ya kuongea naye na kufanya naye jimaa?
Jibu: Aayah ni kwa jumla. Ni pamoja na kwamba analala kwenye kitanda kimoja naye bila ya kuongea naye na kustarehe naye na kwamba analala sehemu nyingine. Nimetaja sehemu ya mwisho na kwamba analala sehemu nyingine kama kwenye chumba kingine, katika nyumba nyingine na kadhalika. Makusudio ni kwamba afanye kile ambacho anaonelea [kuwa ni sawa] ili aweze kumfanya kuwa bora.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (21)
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/vipi-mtu-atamsusa-mwanamke-muasi-chumbani/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)