Swali: Kuna mtu anauliza ni vipi Allaah atakuwa pamoja nasi na wakati huohuo awe juu ya ´Arshi?
Jibu: Ndio. Yuko pamoja nasi kwa ujuzi Wake na kutuona. Kila maneno yana maana yake yanayolingana naye.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 204
- Imechapishwa: 23/02/2023