Swali: Nina msichana ambaye anaenda katika darasa la pili katika shule moja ya Qur-aan ya serikali. Mwalimu wake mwanamke anataka kila wakati anaposoma Aayah kuhusu kwa mfano Pepo achore au alete picha zinazohusiana na hilo. Kwa mfano Allaah Anasema katika Suurat Muhammad:
مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ |
“Mfano wa Pepo ambayo walioahidiwa wenye taqwa; humo mna mito.” (47:15) |
Anamtaka akusanye picha za mito…
Jibu: Huku ni kucheza na Qur-aan. Huku ni kucheza na Qur-aan. Haijuzu kufanya hivi. Qur-aan na Msahafu viachwe kama jinsi vilivyo. Kusizidishwe juu yake kitu. Msahafu leo umewekwa michezo kama hii. Wakati Moto unapotajwa herufi zinakuwa na rangi nyekundu. Wakati Pepo inapotajwa herufi zinakuwa na rangi ya kijani. Sijui ni vipi wanacheza namna hii. Haijuzu kuiwekea Misahafu michezo kama hii. Misafu isafishwe na mienendo kama hii.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Firqatunnajia.com
- Imechapishwa: 22/04/2015
Swali: Nina msichana ambaye anaenda katika darasa la pili katika shule moja ya Qur-aan ya serikali. Mwalimu wake mwanamke anataka kila wakati anaposoma Aayah kuhusu kwa mfano Pepo achore au alete picha zinazohusiana na hilo. Kwa mfano Allaah Anasema katika Suurat Muhammad:
مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ
“Mfano wa Pepo ambayo walioahidiwa wenye taqwa; humo mna mito.” (47:15)
Anamtaka akusanye picha za mito…
Jibu: Huku ni kucheza na Qur-aan. Huku ni kucheza na Qur-aan. Haijuzu kufanya hivi. Qur-aan na Msahafu viachwe kama jinsi vilivyo. Kusizidishwe juu yake kitu. Msahafu leo umewekwa michezo kama hii. Wakati Moto unapotajwa herufi zinakuwa na rangi nyekundu. Wakati Pepo inapotajwa herufi zinakuwa na rangi ya kijani. Sijui ni vipi wanacheza namna hii. Haijuzu kuiwekea Misahafu michezo kama hii. Misafu isafishwe na mienendo kama hii.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Firqatunnajia.com
Imechapishwa: 22/04/2015
https://firqatunnajia.com/video-za-qur-aan-kwenye-youtube-com-mchezo-wa-qur-aan/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)