Swali: Ni ipi hukumu mtu akifanya ´Aqiyqah ya vichinjwa vingi zaidi kuliko vile vilivyosuniwa kama mfano wa vichinjwa vinne?
Jibu: Haijuzu kufanya ´Aqiyqah kwa zaidi ya vilivyosuniwa. Lakini vichinjwa vilivyozidi akinuia kula nyama, na si ´Aqiyqah, maneno ya Fuqahaa´ kwamba afanye ´Aqiyqah ya ng´ombe au ngamia, wamesema ikiwa wataonelea kufaa hivo basi bado [kichinjwa hicho] atazingatiwa ni kwa kichwa cha mtu mmoja. Kwa ajili hiyo wakasema bora ni kuchinja kondoo au mbuzi.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 152
- Imechapishwa: 24/07/2020
Swali: Ni ipi hukumu mtu akifanya ´Aqiyqah ya vichinjwa vingi zaidi kuliko vile vilivyosuniwa kama mfano wa vichinjwa vinne?
Jibu: Haijuzu kufanya ´Aqiyqah kwa zaidi ya vilivyosuniwa. Lakini vichinjwa vilivyozidi akinuia kula nyama, na si ´Aqiyqah, maneno ya Fuqahaa´ kwamba afanye ´Aqiyqah ya ng´ombe au ngamia, wamesema ikiwa wataonelea kufaa hivo basi bado [kichinjwa hicho] atazingatiwa ni kwa kichwa cha mtu mmoja. Kwa ajili hiyo wakasema bora ni kuchinja kondoo au mbuzi.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 152
Imechapishwa: 24/07/2020
https://firqatunnajia.com/vichinjwa-zaidi-ya-vilivyosuniwa-katika-aqiyqah/