Swali: Sisi tunavaa viatu vyenye kutoka katika miji ya makafiri bila ya kujua kuwa mnyama alichinjwa au hakuchinjwa. Ni ipi hukumu ya viatu hivi?
Jibu: Msingi ni kuruhusu mpaka pale utapojua kuwa ni kutoka katika mnyama maiti. Katika hali hiyo usivitumii. Lakini maadamu hujui, basi msingi ni kuruhusu – usijitilie uzito.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Sisi tunavaa viatu vyenye kutoka katika miji ya makafiri bila ya kujua kuwa mnyama alichinjwa au hakuchinjwa. Ni ipi hukumu ya viatu hivi?
Jibu: Msingi ni kuruhusu mpaka pale utapojua kuwa ni kutoka katika mnyama maiti. Katika hali hiyo usivitumii. Lakini maadamu hujui, basi msingi ni kuruhusu – usijitilie uzito.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/viatu-vyenye-kutoka-nje/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket