Swali: Mtu anaweza kuchukua hekima ya uharamu wa vyombo vya dhahabu na fedha na akasema kadhalika ni haramu kuwa na nyumba na gari ya kifakhari ili mafukara wasije wakaona unyonge?

Jibu: Hapana, sio haramu. Inajuzu. Lakini hata hivyo imechukizwa ikiwa itapelekea katika kiburi na fakhari. Itakuwa imechukizwa peke yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020