Uwongo kwa ajili ya kuficha ´ibaadah zako

Swali: Ambaye anasema uwongo kwa ajili ya kuwaficha watu ´ibaadah zake, kama vile swawm na swalah, kwa mfano akasema kuwa yeye hali kwa sababu ameshakula na kushiba?

Jibu: Hakuna haja. Sio jambo lililowekwa katika Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23410/هل-يجوز-الكذب-لاجل-اخفاء-عبادة
  • Imechapishwa: 13/01/2024