Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule mwenye kusimulia maongezi na anaona kuwa ni ya uwongo, basi yeye ni mmoja katika waongo.”

 Vipi kwa ambaye anasimulia Hadiyth na hajui usahihi wake anaingia katika hili?

Jibu: Hapana. [Anayeingia ni] ambaye anadhania kuwa ni uwongo au akajua kuwa ni uwongo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23411/ما-حكم-من-حدث-بحديث-لا-يدري-بصحته
  • Imechapishwa: 13/01/2024