Swali: Sisi tuko katika mji ambapo wamekithiri Raafidhwah na Suufiyyah. Vipi tutawaokoa ´Awwaam kutoka kwao? Je, tuwalinganie wazushi hawa au ´Awwaam peke yake?
JIbu: Mwenye uwezo ni wajibu kwake kuwalingania walinganizi, kuwabainishia na kuwasimamishia hoja. Kuhusiana na asiyekuwa na uwezo abainishe mambo kiasi na atakavyoweza.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (01) http://alfawzan.af.org.sa/node/2104
- Imechapishwa: 28/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)