Utoshelezaji wa kumsifu Mtume katika Tashahhud ya mwisho

Swali: Ni lazima katika Tashahhud ya mwisho kuleta zile namna zilizopokelewa au inatosha pia kusema:

اللهم صل على محمد

“Ee Allaah! Msifu Muhammad.”?

Jibu: Bora zaidi asome moja katika zile namna zilizopokelewa[1]. Vinginevyo kwa mujibu wa wanazuoni wanaona kuwa inatosha kusema:

اللهم صل على محمد

“Ee Allaah! Msifu Muhammad.”

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/854

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23024/ماذا-يجب-في-الصلاة-على-النبي-في-التشهد
  • Imechapishwa: 14/10/2023