Ndevu ni zipi kwa mujibu wa lugha ya kiarabu?

Swali: Je, inafaa kunyoa ndevu za kwenye mashavu?

Jibu: Ndevu ni zile zenye kumea kwenye mashavu na kidevu. Huu ndio utambulisho kwa mujibu wa lugha. Ndevu ni zile zinazokuwa kwenye kidevu na kwenye mashavu. Asikate kitu kidevuni wala ndevu zozote.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23026/هل-يجوز-اخذ-شعر-الخدين
  • Imechapishwa: 14/10/2023