Swali: Je, ni wajibu kumtii mtawala ambaye ni mtu wa Bid´ah lakini Bid´ah yake sio kufuru?
Jibu: Hapana, si [kumtii] katika Bid´ah. Hata hivyo ni wajibu kumtii katika mambo mengine yote.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Je, ni wajibu kumtii mtawala ambaye ni mtu wa Bid´ah lakini Bid´ah yake sio kufuru?
Jibu: Hapana, si [kumtii] katika Bid´ah. Hata hivyo ni wajibu kumtii katika mambo mengine yote.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/utiifu-kwa-mtawala-mzushi/