Swali: Je, ni wajibu kumtii mtawala ambaye ni mtu wa Bid´ah lakini Bid´ah yake sio kufuru?

Jibu: Hapana, si [kumtii] katika Bid´ah. Hata hivyo ni wajibu kumtii katika mambo mengine yote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020