Swali: Mimi kila siku naenda kazini kwa masafa yaliyo kama ya safari. Je, inajuzu kutendea kazi hukumu za safari kwa kuzingatia ya kwamba hurudi siku hiyo hiyo?
Jibu: Ndio, njiani. Ikiwa masafa sio chini ya kilomita 80 unaweza kufupisha mpaka unaporudi katika mji wako. Unaweza kufanya hivo wakati wa kwenda kazini na wakati wa kurudi nyumbani.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Mimi kila siku naenda kazini kwa masafa yaliyo kama ya safari. Je, inajuzu kutendea kazi hukumu za safari kwa kuzingatia ya kwamba hurudi siku hiyo hiyo?
Jibu: Ndio, njiani. Ikiwa masafa sio chini ya kilomita 80 unaweza kufupisha mpaka unaporudi katika mji wako. Unaweza kufanya hivo wakati wa kwenda kazini na wakati wa kurudi nyumbani.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/inajuzu-kufupisha-na-kujumuisha-swalah-kwa-safari-ya-kwenda-kazini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)