Swali: Mke wangu amehiji huku amevaa Niqaab kutokana na ujinga. Ni lipi la wajibu kwake?

Jibu: Hakuna. Maadamu ni mjinga hana juu yake kitu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020