Swali: Je, inajuzu kunyoa nywele zilizo kati ya paji la uso ikiwa zimekamatana na pua na zinaufanya uso kuonekana vibaya na khaswa zikiwa ndefu na zenye kudhuru? Mimi naapa kwa Allaah kwamba sijifananisha na makafiri, mayahudi na kujipamba. Lakini zinauumbua uso wangu.
Jibu: Kuziondosha kwa njia ya kuzichonga ni kitendo cha haramu na hakijuzu. Kwa sababu kufanya hivo ni Nams. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) mwenye kuchonga nyusi na mwenye kuchongwa. Ama kuzindosha bila ya kuzichonga, kama mfano wa kuzikata na kuzinyoa, ni jambo halina neno ingawa wapo baadhi ya wanachuoni wenye kuona kuwa ni haramu na kwamba inaingia katika Nams. Kinachotakikana kwa mwanamke huyu ni kuziacha na wala asizifanye kitu. Isipokuwa zikimdhuru kwa njia ya kwamba kuna kitu katika nywele hizi kinaingia jichoni mwake au zinamzuia kuona vizuri. Katika hali hiyo ni sawa akapunguza zile zinazomdhuru.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (16) http://binothaimeen.net/content/6808
- Imechapishwa: 08/09/2021
Swali: Je, inajuzu kunyoa nywele zilizo kati ya paji la uso ikiwa zimekamatana na pua na zinaufanya uso kuonekana vibaya na khaswa zikiwa ndefu na zenye kudhuru? Mimi naapa kwa Allaah kwamba sijifananisha na makafiri, mayahudi na kujipamba. Lakini zinauumbua uso wangu.
Jibu: Kuziondosha kwa njia ya kuzichonga ni kitendo cha haramu na hakijuzu. Kwa sababu kufanya hivo ni Nams. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) mwenye kuchonga nyusi na mwenye kuchongwa. Ama kuzindosha bila ya kuzichonga, kama mfano wa kuzikata na kuzinyoa, ni jambo halina neno ingawa wapo baadhi ya wanachuoni wenye kuona kuwa ni haramu na kwamba inaingia katika Nams. Kinachotakikana kwa mwanamke huyu ni kuziacha na wala asizifanye kitu. Isipokuwa zikimdhuru kwa njia ya kwamba kuna kitu katika nywele hizi kinaingia jichoni mwake au zinamzuia kuona vizuri. Katika hali hiyo ni sawa akapunguza zile zinazomdhuru.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (16) http://binothaimeen.net/content/6808
Imechapishwa: 08/09/2021
https://firqatunnajia.com/uthaymiyn-kuhusu-kuondosha-nywele-zilizoko-katikati-ya-paji-la-uso/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)