Tumeshuhudia wenyewe na kuona kuwa utajiri ndio inakuwa sababu ya kuharibika kwa mtu. Utamuona mtu katika hali ya ufukara anakuwa ni mnyenyekevu na mwenye kikimbilia kwa Allaah na anakuwa hana jeuri. Pale ambapo Allaah anamneemesha mali anakuwa na kiburi. Utajiri unamfanya kuwa na jeuri.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/41)
Tumeshuhudia wenyewe na kuona kuwa utajiri ndio inakuwa sababu ya kuharibika kwa mtu. Utamuona mtu katika hali ya ufukara anakuwa ni mnyenyekevu na mwenye kikimbilia kwa Allaah na anakuwa hana jeuri. Pale ambapo Allaah anamneemesha mali anakuwa na kiburi. Utajiri unamfanya kuwa na jeuri.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/41)
https://firqatunnajia.com/utajiri-kwa-baadhi-ya-waumini/