Swali: Je, njia za kulingania katika dini ya Allaah inatakiwa iwe kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah tu (Tawqiyfiyyah) nikiwa na maana ya kwamba sitakiwi kulingania isipokuwa kwa kutumia njia ambayo Mitume walitumia?
Jibu: Ndio, ni lazima iwe hivi. Usizushe njia kutoka kwako. Usizushe njia kutoka kwako.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, njia za kulingania katika dini ya Allaah inatakiwa iwe kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah tu (Tawqiyfiyyah) nikiwa na maana ya kwamba sitakiwi kulingania isipokuwa kwa kutumia njia ambayo Mitume walitumia?
Jibu: Ndio, ni lazima iwe hivi. Usizushe njia kutoka kwako. Usizushe njia kutoka kwako.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/usizushe-njia-mpya-ya-kufanya-dawah/