Swali: Kuna watu wamefanya leo picha kuwa ni miongoni mwa njia za Da´wah za kisasa na miongoni mwa njia za kueneza kheri…

Jibu: Ina maana maasi yamekuwa ni njia za kufanyia Da´wah? Je, picha ni ´ibaadah au ni maasi? Ni maasi. Vipi basi tufanye maasi kuwa ni miongoni mwa njia za Da´wah? Lililo la wajibu ni sisi kulingania watu waache picha kwa kuwa ni maovu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020