Usivae kinyume na wanavyovaa watu wa mji wako

Swali: Ikiwa kanzu hii ambayo alivaa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) haivaliwi na watu wa mji, kama mfano wa vazi jekundu, si inakuwa ni vazi la kutafuta umashuhuri?

Jibu: Ikiwa vazi hilo halivaliwi katika mji usilivae. Ikiwa watu wa mji mzima wamekubaliana juu ya kuvaa vazi la aina fulani – kama vile jeupe au jekundu – asende kinyume nao.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23290/هل-من-الشهرة-ما-لا-يلبسه-اهل-البلد
  • Imechapishwa: 21/12/2023