Swali: Je, inajuzu kusoma vitabu vilivyo na utata ambavyo wanachuoni wameraddi kabla ya kusoma Raddi yake?

Jibu: Hapana, si sawa kuvisoma. Ni lazima kwanza usome Radd yake. Vinginevyo kuna khatari vikashika kwenye kichwa chako na ukafikiria kuwa ni haki. Bora zaidi ni kutovisoma kabisa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir-14340205.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2015