Swali: Kipindi cha nyuma kumejitokeza soksi fupi sizizofunika kongo mbili za miguu. Je, zina hukumu moja kama soksi zingine inapokuja katika kupangusa juu yake?

Jibu: Hapana. Hazifuniki miguu yote. Ni lazima zifunike mafundo ya miguu na yale yaliyo chini yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir-14340205.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2015