Swali: Vipi ikiwa mtu hawezi kugusa Ka´bah?

Jibu: Ataashiria kwa mkono wake au kwa fimbo na kuleta Takbiyr. Hivo ndivo alivofanya Mtume Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24991/ما-يفعل-من-لم-يتيسر-له-استلام-الحجر
  • Imechapishwa: 23/01/2025