Swali: Je, inafaa kumwambia mtenda dhambi kuwa ni khabithi?
Jibu: Hapana, asimzungumzishe namna hiyo. Amwambie kuwa amche Allaah, ee mja wa Allaah, ee fulani, mche Allaah. Kwa sababu neno ´khabithi` linaweza kusababisha magomvi na kutoitikia faida.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23405/هل-يجوز-قول-يا-خبيث-للفاسق
- Imechapishwa: 12/01/2024
Swali: Je, inafaa kumwambia mtenda dhambi kuwa ni khabithi?
Jibu: Hapana, asimzungumzishe namna hiyo. Amwambie kuwa amche Allaah, ee mja wa Allaah, ee fulani, mche Allaah. Kwa sababu neno ´khabithi` linaweza kusababisha magomvi na kutoitikia faida.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23405/هل-يجوز-قول-يا-خبيث-للفاسق
Imechapishwa: 12/01/2024
https://firqatunnajia.com/usimwite-hivo-mtenda-dhambi/