Swali: Vipi ikiwa mtu anamtia mapungufu mwingine kwa njia ya mzaha?

Jibu: Haijalishi kitu hata kama ni kwa njia ya mzaha. Haisilihi kumchezea shere kasoro ya ndugu yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23402/هل-يجوز-التنقص-لو-كان-فاعله-مازحا
  • Imechapishwa: 12/01/2024