Kinga dhidi ya shaytwaan katika kila Rak´ah

Swali: Je, maoni yenye nguvu zaidi mtu aombe kinga dhidi ya shaytwaan katika kila Rak´ah?

Jibu: Maoni yenye nguvu ni katika ile Rak´ah ya kwanza. Rak´ah zilizosalia inatosha kuleta Basmalah anaposoma Suurah. Akiomba kinga ni kheri zaidi – Allaah akitaka. Kwa sababu kisomo cha swalah ni kama kitu kimoja.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23397/هل-يشرع-التعوذ-من-الشيطان-في-كل-ركعة
  • Imechapishwa: 12/01/2024