Swali: Ni vipi kuoanisha kati ya Hadiyth inayosema:

“Hakika Allaah ni mzuri na anapenda vizuri.”

na:

“Uchakavu ni katika imani.”?

Jibu: Hapana vibaya mtu akifanya hivo baadhi ya nyakati kwa nia ya kujishusha ili asiingiwe na kiburi. Ni sawa akafanya hivo baadhi ya nyakati.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23406/كيف-يجمع-بين-حديث-يحب-الجمال-والبذاذة
  • Imechapishwa: 12/01/2024