212 – Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:

كان رسولُ الله – صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ – يصلِّي بالليل ركعتين ركعتين، ثم ينصرفُ فيستاك

“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiswali usiku Rak´ah mbilimbili. Kisha anaondoka kwenda kutumia Siwaak.”[1]

Ameipokea Ibn Maajah na an-Nasaa´iy. Wapokezi wake ni wenye kuaminika.

[1] Swahiyh kupitia zingine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/203)
  • Imechapishwa: 12/01/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy