Usimwache mwanamke wako akatoka amejitia manukato

Haijuzu kwa yeyote kumwacha mwanamke wake akatoka hali ya kuwa amejitia manukato. Awasimamie kwa ukali kabisa. Haijalishi kitu sawa ikiwa mke, msichana, dada, mama au wengineo. Haijuzu kwa yeyote kumwacha mwanamke wake akatoka kinyume na njia iliyowekwa katika Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/307)
  • Imechapishwa: 04/05/2023