Swali: Nina dada aliyeolewa na mume wake anamshurutisha asivae Hijaab mbele ya ndugu zake. Je, ninayo haki ya kuwakatia uhusiano hali ya kuwa niliwapa nasaha wao na khaswa mume, lakini mume amekataa. Natakiwa kuchukua msimamo gani?
Jibu: Anapaswa kujisitiri hata kama haridhii. Hana haki ya kumtii katika maasi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika hapana vyenginevyo utiifu ni katika mema.”
Kwa hiyo ikiwa yeye mume ni dhaifu katika wivu na anamwamrisha ajifunue mbele ya ndugu zake, ami zake, marafiki zake na maswahiba zake, basi hana haki ya kumtii katika hilo. Tunamuomba Allaah awaongoze wote.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3510/حكم-كشف-المراة-وجهها-امام-اخوة-زوجها
- Imechapishwa: 29/08/2026
Swali: Nina dada aliyeolewa na mume wake anamshurutisha asivae Hijaab mbele ya ndugu zake. Je, ninayo haki ya kuwakatia uhusiano hali ya kuwa niliwapa nasaha wao na khaswa mume, lakini mume amekataa. Natakiwa kuchukua msimamo gani?
Jibu: Anapaswa kujisitiri hata kama haridhii. Hana haki ya kumtii katika maasi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika hapana vyenginevyo utiifu ni katika mema.”
Kwa hiyo ikiwa yeye mume ni dhaifu katika wivu na anamwamrisha ajifunue mbele ya ndugu zake, ami zake, marafiki zake na maswahiba zake, basi hana haki ya kumtii katika hilo. Tunamuomba Allaah awaongoze wote.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3510/حكم-كشف-المراة-وجهها-امام-اخوة-زوجها
Imechapishwa: 29/08/2026
https://firqatunnajia.com/usimtii-mume-huyu-asiye-na-wivu/