Swali: Napenda kuwajulisha kuwa kumejitokeza katika jamii jambo limezushwa, baya sana, ovu baya na kubwa, nalo ni wanaloliita “Shar‘ah” katika hafla za ndoa. Wanamleta mwanaume aliyeoa na wanamwingiza kwa wanawake baada ya kumfunika bibi harusi mbele ya wanawake, kisha mwanaume anakuja na kufunua “Shar‘ah”?
Jibu: Hili linajulikana, hili tumelitanabahisha na kumeandikwa kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusu hilo na amearifiwa juu ya hilo. Tunamuomba Allaah awaongoze wote. Hapana shaka kwamba tendo hili ni baya, kwa sababu linaingiza mwanaume kwa wanawake wakiwa wamejifunua na hawajajisitiri. Huenda pia akafanya pamoja na mke wake jambo lisilofaa mbele yao na kwa kuona kwao. Hili halijuzu. Hakika kumezinduliwa juu ya hili. Tunamuomba Allaah awaongoze wote.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3498/حكم-ما-يسمى-بالشرعة-في-مناسبات-الزواج
- Imechapishwa: 29/08/2026
Swali: Napenda kuwajulisha kuwa kumejitokeza katika jamii jambo limezushwa, baya sana, ovu baya na kubwa, nalo ni wanaloliita “Shar‘ah” katika hafla za ndoa. Wanamleta mwanaume aliyeoa na wanamwingiza kwa wanawake baada ya kumfunika bibi harusi mbele ya wanawake, kisha mwanaume anakuja na kufunua “Shar‘ah”?
Jibu: Hili linajulikana, hili tumelitanabahisha na kumeandikwa kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusu hilo na amearifiwa juu ya hilo. Tunamuomba Allaah awaongoze wote. Hapana shaka kwamba tendo hili ni baya, kwa sababu linaingiza mwanaume kwa wanawake wakiwa wamejifunua na hawajajisitiri. Huenda pia akafanya pamoja na mke wake jambo lisilofaa mbele yao na kwa kuona kwao. Hili halijuzu. Hakika kumezinduliwa juu ya hili. Tunamuomba Allaah awaongoze wote.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3498/حكم-ما-يسمى-بالشرعة-في-مناسبات-الزواج
Imechapishwa: 29/08/2026
https://firqatunnajia.com/bwana-harusi-anaingia-ukumbi-wa-wanawake-kumuona-bibi-harusi/