Swali: Mtu afanye nini ikiwa ndugu zake au baadhi ya wanafamilia zake wanapuuzia swalah na anawanasihi lakini hata hivyo hawaitikii?
Jibu: Akiwanasihi ametekeleza wajibu wake. Lakini hata hivyo asiishi nao. Badala yake atafute nyumba ilio mbali na wao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (80) ttp://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_08_03_1433.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)