Swali: Mtu afanye nini ikiwa ndugu zake au baadhi ya wanafamilia zake wanapuuzia swalah na anawanasihi lakini hata hivyo hawaitikii?

Jibu: Akiwanasihi ametekeleza wajibu wake. Lakini hata hivyo asiishi nao. Badala yake atafute nyumba ilio mbali na wao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (80) ttp://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_08_03_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020