Swali: Je, inajuzu kumpenda kafiri kwa ajili ya udugu wake na sio kwa ajili ya dini yake?

Jibu: Kafiri hapendwi kwa sababu ni adui wa Allaah na vilevile Allaah ni adui yake Anamchukia. Vipi utampenda adui wa Allaah? Vipi utampenda mtu ambaye Allaah (´Azza wa Jalla) anamchukia:

لَا تَجِدُ قَوْمًا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ يُوَادُّونَ مَنْ حَادَّ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَلَوْ كَانُوا آبَاءهُمْ أَوْ أَبْنَاءهُمْ أَوْ إِخْوَانَهُمْ أَوْ عَشِيرَتَهُمْ

“Huwakuti watu wanao muamini Allaah na siku ya Mwisho kuwa wanawapenda wanaompinga Allaah na Mtume wake, hata wakiwa ni baba zao, au watoto wao, au ndugu zao, au jamaa zao.” (58:22)

Mchukie kwa ajili ya Allaah (´Azza wa Jall).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (80) ttp://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_08_03_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020