Swali: Sisi tuko katika kijiji na tunalinganiwa na kundi linaloitwa Jamaa´at-ut-Tabliygh. Je, tutoke pamoja nao au hapana?

Jibu: Usende pamoja nao. Tembea na Kitabu cha Allaah na Sunnah za Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.ajurry.com/vb/showthread.php?t=35571
  • Imechapishwa: 03/09/2020