Usafishwaji wa mkeka uliopatwa na mkojo

Swali: Ni vipi mkeka unasafishwa kutokana na mkojo?

Jibu: Ikiwezekana tunauondosha[1]. Vinginevyo tutaumwagilia maji mpaka mtu awe na dhana yenye nguvu kwamba maji yameshinda ile najisi.

[1] Bi maana tutauosha pahali pengine.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 108
  • Imechapishwa: 01/07/2022