Hapa ndipo ni bora kwa mwanamke kuswali msikitini


Swali: Je, ni sahihi kwamba bora kwa mwanamke ni yeye kuswali nyumbani kwake kuliko kuswali katika msikiti Mtakatifu wa Makkah pia?

Jibu: Ndio. Isipokuwa ikiwa msikitini kuko mwalimu na mwanazuoni. Katika hali hiyo kile kinachozidiwa ubora kinaenda katika ubora.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 131
  • Imechapishwa: 01/07/2022