Mgonjwa anakusanya na hafupishi


Swali: Je, inafaa kwa mgonjwa kukusanya na kufupisha swalah?

Jibu: Inafaa kukusanya na wala asifupishe.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 171
  • Imechapishwa: 03/07/2022