Maini na matumbo ya ngamia


Swali: Je, kuna tofauti kati ya nyama ya ngamia, maini na matumbo yake?

Jibu: Hakuna tofauti. Vyote vinachengua wudhuu´.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 119
  • Imechapishwa: 01/07/2022