Unyevunyevu kwenye chupi baada ya kuamka kutoka usingizi

84 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mtu ambaye ameamka kutoka usingizini na akakuta unyevunyevu katika nguo yake na anayo shaka kama ni manii au si manii?

Jibu: Haimlazimu kuoga hadi awe na yakini kwamba ni manii. Hata hivyo hapana vibaya ikiwa ataoga kwa ajili ya kuchukua tahadhari.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 53
  • Imechapishwa: 13/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´