Ndevu nyingi wakati wa josho la janaba

85 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu namna ya kuosha ndevu nene wakati wa josho la janaba?

Jibu: Inatosha kupitisha maji juu yake. Lakini akisugua itakuwa bora zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 53
  • Imechapishwa: 13/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´