Swalah kwa viatu vya ngozi ya nyoka

Swali 83: Vipi kuhusu mwenye kuswali akiwa amevaa viatu vya ngozi ya nyoka?

Jibu: Swalah yake ni sahihi, kwa sababu maoni yanayosema kuwa ni safi yana nguvu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 53
  • Imechapishwa: 13/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´