Pikniki kwa mwanamke ndani ya eda

Swali 571: Je, mwanamke aliye katika eda ya kufiwa anaweza kutoka kwenda jangwani au matembezi ya burudani?

Jibu: Bora ni kuepuka, kwa sababu hilo si hitaji la lazima. Anatakiwa kutoka kwa ajili ya hospitali au mambo muhimu tu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 199
  • Imechapishwa: 13/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´