Saa kwa mwanamke ndani ya eda

569 – Nilimuuliza kama inafaa kwa mwanamke aliye katika eda ya kufiwa kuvaa saa?

Jibu: Hapana, kwa kuwa saa ni aina ya mapambo.

Swali 570: Je, saa inahesabiwa kama mapambo na hivyo mwanamke aliye katika eda ya kufiwa asiivae?

Jibu: Jambo lililo karibu zaidi ni kuiacha, kwa kuwa ni aina ya mapambo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 199
  • Imechapishwa: 13/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´