Mwanamke aliye ndani ya eda anatakiwa kutoka baada ya kuisha kodi yake

Swali 568: Nini anachotakiwa kufanya mwanamke aliye katika eda ya kufiwa na mume Ikiwa muda wa upangaji wa nyumba umekwisha?

Jibu: Atatoka na atakamilisha eda yake katika nyumba ya familia yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 199
  • Imechapishwa: 13/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´