Swali: Wakati fulani pindi ninapoamka kutoka usingizini ninaona maji maji kwenye chupi. Sijui kama ni manii au madhiy…
Jibu: Ni manii. Umemwaga pasi na kujua. Ukiona athari ya manii bila ya kujua, ni lazima uoge. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Maji yanatokamana na maji.”
Bi maana mtu anatakiwa kuoga baada ya kumwaga pasi na kujali ukihisi hilo au usihi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Wakati fulani pindi ninapoamka kutoka usingizini ninaona maji maji kwenye chupi. Sijui kama ni manii au madhiy…
Jibu: Ni manii. Umemwaga pasi na kujua. Ukiona athari ya manii bila ya kujua, ni lazima uoge. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Maji yanatokamana na maji.”
Bi maana mtu anatakiwa kuoga baada ya kumwaga pasi na kujali ukihisi hilo au usihi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/umandemande-kwenye-chupi-baada-ya-kuamka/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)